KweliMkuu the-legend ungetuuizia hapa kwa watsap kama wafanyavyo wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu hapaNimekimbia mbio nikifikiri jamaa katukumbuka
Jaman mwandishi anatoa kitabu siku si nyingi jiandaeni huu mweziView attachment 1086377
Amesema itakuwa kwa mfumo Wa hard copy softy copy haina faidaTuuzie kwa njia ya mitandao ili rahc wengine kuipata
asingeleta basi@!Amesema itakuwa kwa mfumo Wa hard copy softy copy haina faida
asingeleta basi@!
kwani humu wanaosoma wanafika elf ngapi?
Wenzie wanaleta na wanamaliza riwaya humu na vitabu vinauzika...maana humu wasomaji ni wachache sana ..
Asilete humu kujaza sever bure...atoe huko mitaani anotaka atanunua lakini si kufanya hivi..sio ustaarabu!
Si yeye tu na wengine wote wenye ila kama yeye!
Amesema itakuwa kwa mfumo Wa hard copy softy copy haina faida
asingeleta basi@!
kwani humu wanaosoma wanafika elf ngapi?
Wenzie wanaleta na wanamaliza riwaya humu na vitabu vinauzika...maana humu wasomaji ni wachache sana ..
Asilete humu kujaza sever bure...atoe huko mitaani anotaka atanunua lakini si kufanya hivi..sio ustaarabu!
Si yeye tu na wengine wote wenye ila kama yeye!
Aliyekuwa anaieleta humu si yeye mwandishi lakiniWell say, ni heri angeiuza tu kwa mfumo wa soft copy mana sometime hard copy sehemu nyingine huwezi pata zinakuwa chache
Povuasingeleta basi@!
kwani humu wanaosoma wanafika elf ngapi?
Wenzie wanaleta na wanamaliza riwaya humu na vitabu vinauzika...maana humu wasomaji ni wachache sana ..
Asilete humu kujaza sever bure...atoe huko mitaani anotaka atanunua lakini si kufanya hivi..sio ustaarabu!
Si yeye tu na wengine wote wenye ila kama yeye!
Povu
LakoPovu
Inaemdelea wap sasa aahInaendelea
Mwandishi amesema ana andaa kitabu kimikamilika atatujulisha.Inaemdelea wap sasa aah