Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 152,975
- 453,778
- Thread starter
- #141
Hii story naona haina wafatiliaji zaidi ya Madame S na SweetieLee
Usisahau kuna wanaofuatilia kimya kimya mumie.!!Hii story naona haina wafatiliaji zaidi ya Madame S na SweetieLee
Inanitia uvivu nahisi kuikatisha
No babe, please don't.!!Inanitia uvivu nahisi kuikatisha
KivipiHuyo my dear sio wala mpenzi wa story ila ngoja tuone
Hi story jisi iliisha hata sikumbukiNo babe, please don't.!!
tupo tunafuatilia kimya kimya ,na mapenzi ndio ugonjwa wetu watoto wa sinza sieHii story kweli inawafatiliaji au
Marino mwengine huyu
Yaani,dah imeisha patamu balaa