Hapana tuvumilie mkuu weekend inaanza kesho na kuendelea mpaka jumapili kwa hiyo kati ya siku hizo 3 riwaya itavuma tena hapa unajua hii ni season 2 na maandalizi yanakuwa mengine tofauti kabisa.Bibie shunie usifanye hivyo....uvumilivu mpaka wikend ni mbali mnooo..tufanyie ihsani tafadhal
ahahah vipi umeshapitia kwenye 'anga la washenzi'?Hatimaye nimefika kwenye foleni.
Eeh hapana hiyo sijaiona mkuu!ahahah vipi umeshapitia kwenye 'anga la washenzi'?
Ipo kwenye jukwaa hili hili la entertainment ni ya SteveMollelEeh hapana hiyo sijaiona mkuu!
Ndio mana nakupenda mimi koncho shemela wake na TumosaHapana tuvumilie mkuu weekend inaanza kesho na kuendelea mpaka jumapili kwa hiyo kati ya siku hizo 3 riwaya itavuma tena hapa unajua hii ni season 2 na maandalizi yanakuwa mengine tofauti kabisa.
MVUMILIVU HULA MBIVU.
POLE POLE NDIO MWENDO.
HARAKA HARAKA HAINA BARAKA
Asante muya na imeshafika
Asante muya na imeshafika