Simulizi: Mke Wangu Juliana

Sehemu ya 129

Stori ya maisha yake ikawa gumzo Kigoma nzima, hapakuwa na watu waliokuwa wakiamini kwamba yule kijana aliyekuwa akiishi kwenye maisha ya kimasikini, John alikuwa tajiri kama alivyokuwa.

Wapo waliokuwa wakibisha ambao walichukuliwa na kupelekwa mtaani kwake ambapo huko watu waliwajibu kwamba ni kweli kile walichokuwa wakikisikia ndicho kilikuwa ukweli wenyewe.

Wengi walibadilika, waliokuwa na dharau dhidi ya watu masikini wakaanza kuwaheshimu watu hao kwani waliamini kama mzee Masako ilimtokea yale yaliyomtokea basi kulikuwa na uwezekano hata wa kuwatokea wao.

Maisha yake yaliwabadilisha watu wengi. Vijana wengi wakajifunza, mabosi wakabadilika, masikini wakaheshimiwa. Kuanzia mwaka 2017 ambapo John alianza kuishi mkoani Kigoma, mpaka leo hii historia ya maisha yake ilibaki kuwa vichwani mwa watu wengi.

MWISHO.

Asanteni kwa kuwa nami toka mwanzo mpaka mwisho wa story hii na kuvumiliana na arosto za apa na pale

Mwisho wa story hii ndio mwanzo wa story nyingine nyemo chilongani na shunie tunawapenda sana

Tuendelee kumuunga kijana mkono kwa kununua vitabu vyake no ya simu hii 0718 069269 piga mda wowote
Asante kwa story nzuri japo ilikuwa na arosto ya aina yake.....hope John alikumbuka kumsaidia rafiki yake aliyemfundisha kuuza samaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks for the story! It's such an excting one. Nimejifunza hapo kuhusu aina za mapacha walioungana. Licha ya kuwa ni fiction mambo ya mzee abraham yapo sana kitaa. Sema ningekua mimi john huwa amanda ningemuomba gem, namfumua sana nakula hadi mombasa halaf nampiga chn. Mwamamke anayemvulia chup mwanaue mwingne huyo ni wa kuogopa sana.
 
Sehemu ya 129

Stori ya maisha yake ikawa gumzo Kigoma nzima, hapakuwa na watu waliokuwa wakiamini kwamba yule kijana aliyekuwa akiishi kwenye maisha ya kimasikini, John alikuwa tajiri kama alivyokuwa.

Wapo waliokuwa wakibisha ambao walichukuliwa na kupelekwa mtaani kwake ambapo huko watu waliwajibu kwamba ni kweli kile walichokuwa wakikisikia ndicho kilikuwa ukweli wenyewe.

Wengi walibadilika, waliokuwa na dharau dhidi ya watu masikini wakaanza kuwaheshimu watu hao kwani waliamini kama mzee Masako ilimtokea yale yaliyomtokea basi kulikuwa na uwezekano hata wa kuwatokea wao.

Maisha yake yaliwabadilisha watu wengi. Vijana wengi wakajifunza, mabosi wakabadilika, masikini wakaheshimiwa. Kuanzia mwaka 2017 ambapo John alianza kuishi mkoani Kigoma, mpaka leo hii historia ya maisha yake ilibaki kuwa vichwani mwa watu wengi.

MWISHO.

Asanteni kwa kuwa nami toka mwanzo mpaka mwisho wa story hii na kuvumiliana na arosto za apa na pale

Mwisho wa story hii ndio mwanzo wa story nyingine nyemo chilongani na shunie tunawapenda sana

Tuendelee kumuunga kijana mkono kwa kununua vitabu vyake no ya simu hii 0718 069269 piga mda wowote
Nimeikubali hii iko mbuya Sana aisee.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom