Simulizi fupi ya Rama mla watu ya 9 miaka jela

Dah!..imeshapita miaka kama kumi na ushee toka hili tukio litokee. Miaka inaenda kasi Sana.
 
Nimetoka nafuatilia mahojiano aliyofanya na television moja ya online miaka sita iliyopita..

Nimetafakarishwa sana na mbinu zinazotumika na watu wa gizani kukamilisha mission zao kwa kuwatumia watoto wadogo wasiokuwa na utambuzi wa mambo kwa kina..

Nadhani kunasababu nyinginezo zilizochangia kutokufungwa kifungo cha maisha..Na asaiv sijui atakuwa wapi alikuwa na sijui kama alifanimiwa kuipata familia yake.Inasikitisha sana. Ukiwa unamsikia akisimulia ni kama unatazama movie.
 
Back
Top Bottom