SIMULATION AND MODELING: Njia mbadala ya kuimarisha intelijensia (Case ya Kibiti)

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,014
2,000
Simulation na modeling inahitaji takwimu ili kugundua mambo yaliyofichama ama kutabiri mambo yanayoweza kutokea! Mpaka sasa takwimu za kibiti zinaweza kutosha kufanya analysis, kutengeneza scenario na predictive equations (models) hivyo kuwezesha kufanya simulation ya matukio ya kibiti na kuweza ku-predict possibilities za lini ama wapi tukio litafanyika na kundi gani/mtu gani ni targeted kwa mashambulizi!
Bila shaka ni muda sasa usalama wa taifa/polisi ukatumia watalaamu wake wote wa masuala ya takwimu na hesabu, hii itasaidia kupeleka nguvu kubwa kwenye "likely " target points.
Nawasilisha.
 
Naren

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
694
500

Mungu awape vyombo vyetu vya usalama kila namna ya kuchanganua ili wawapate wahalifu hao
 
Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,221
2,000
!
!
Ni muda wa kuwa peleka wale jamaa zetu wakuvunja tofali kwa kichwa sasa. Tusiwatumie kwa maonesho tu, kibiti ndio kazini kwao hasa. Maonesho ni subsidiary tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom