Simuelewi rais wangu JK Kwahili

Fede Masolwa

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
528
123
9 December mwaka huu, ilikuwa uhuru wa tz bara, sikuona rais yeyote au mgeni yeyote toka nje ya nchi kualikwa au kuhudhuria ata majirani zenu, lakin leo nimesikia magazeti rais wangu atakuwa mgen kwenye sherehe ya uhuru wa kenya nikashituka sana sio kwa mabaya na kubwa zaid rais wa zanzibar shen nayea katuma salam kwa kenyatta... Sijaelewa kabisa kwanini lakin mambo yetu hawayaheshimu sisi tunajipendekeza
 
Unatakiwa uelewe kuwa Kenya inasheherekea miaka 50 tangu uhuru. Kwani kwenye sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa TZ hakukuwa na maraisi waliohalikwa!!
 
Nakumbuka walialikwa hata Uganda pia
 
9 December mwaka huu, ilikuwa uhuru wa tz bara, sikuona rais yeyote au mgeni yeyote toka nje ya nchi kualikwa au kuhudhuria ata majirani zenu, lakin leo nimesikia magazeti rais wangu atakuwa mgen kwenye sherehe ya uhuru wa kenya nikashituka sana sio kwa mabaya na kubwa zaid rais wa zanzibar shen nayea katuma salam kwa kenyatta... Sijaelewa kabisa kwanini lakin mambo yetu hawayaheshimu sisi tunajipendekeza
Fede Masolwa na miradi mingi kwa wizara zote imekwama kwa kukosa pesa
 
Last edited by a moderator:
...kusherekea uhuru wa Tanzania Bara ni ubatili mtupu coz hakuna nchi duniani inaitwa Tanzania Bara...
 
Back
Top Bottom