Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,971
Yeye anadai kusafisha nchi. Anasafisha sebuleni halafu anaacha chumbani pamejaa uchafu! Namaanisha wazee wa kujua kusoma na kuandika waliosababisha vyeti feki na wao pia wana vyeti feki kuachwa! Lengo lake silielewi kwa kweli kukubali kukaa na uchafu chumbani na kusafisha sebule!
Kunyoosha gani huko? Kwa nini tusiseme yeye hasa ndiye aliyenyooshwa na wa kusoma na kuandika? Au ndio yale ya bosi kuwa mkali Ofusini akirudi home ananyooshwa na mama nanhii, hasemi kitu?
JPM asijidanganye, akiondoka yeye uchafu anaourundika chumbani utamwagika sebuleni na itakuwa aibu kwake!