Simuelewi rafiki huyu

WA KISHUA

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
365
130
Habari za Mwsho Wa DUNIA leo Tar 12/12/2012 , ikifika saa 12:12:12 ndio Mwisho , nikaona ngoja 2agane vzr humu JAMVINI, Mimi nina Rafiki yangu ambae tumekuwa wote tangu utotoni mpaki tukafikia utuuzima, sema nimemzidi kidogo, yeye kwa sasa ivi anasoma chuo UDSM anachua MASTERS Ya Sheria , Ila huyu jamaa a.k.a Best Friend Wangu ni Mtoto wa mama sana, yaani hakuna ki2 atakachokisikia asiende kumwambia mama, mtoto wa kiume huyo alafu kingine hana KIFUA cha kutunza siri, kitu cha mwisho kinachonitia shaka kuhusu huyu jamaa yangu ni kwamba , Endapo Ninapokuwa na jambo langu fulani natarajia kufanya , mfano labda kuna ishu nategemea kufanya ya kupata hela nyingi, endapo nikimwambia huwa SIFANIKIWI kabisa, sasa sijajua huwa ananibania kimazingara au ni WIVU anaoweka wa kutotaka mimi nisifanikiwe ndio unasababisha JAMBO lolote nalomwambia la mafanikio nisifanikiwe, Mfano niliwahi kumwambia Nimepata mteja wa gari yangu tena amekubali kununua kwa bei nzuri, jamaa akajibu poa yan kama wivu flani, kweli kesho yake napigiwa simu na yule mteja aliyepanga kuja kuniletea hela ya kununua gari yangu kwamba ameghairisha zoezi na mambo mengine mengi sana endapo nikimshirikisha huwa mambo yangu hayaendi, sasa hapo inakuaje? Na endapo nisipomwambia huwa nafanikisha Mission Zangu, Je, Huyu Bestfriend wangu mnamchukuliaje? Msaada Pleaseeeee, Masikhara na Matusi sihitaji katika hii Thread, Ukishindwa kuComment CHUNA. Nawasilisha Wanawane




Better Late Than Never
 
Sasa mkuu we ushatuambia kuwa leo tar 12/12/12 saa 12:12:12 ndo mwisho wa dunia.
Sasa mwenzetu huogopi kuwa kama Yesu atarudi leo jioni na akakuta hujamsamehe na bado unamsemea vibaya rafiki yako hatokuchukua?

 
Unamjua Dokta Manyaunyau...Hebu sogea pande zake..lazima jamaa atakuwa anatembea na nyota yako..
Halafu Mwisho wa Dunia ni 20-12-2012..punguza kiherehere cha mwisho wa Dunia
 
Ushauri gani unataka? Si umesema mwenyewe ukimuambia hufanikiwi acha kumshirikisha mambo yako. Wewe fanya yako na yeye afanye yake.
 
vibua,dagaa, huu ni msimu wa maembe na mananasi, matamu. Sent with simu ya mchina from Namtumbo
 
Unamjua Dokta Manyaunyau...Hebu sogea pande zake..lazima jamaa atakuwa anatembea na nyota yako..
Halafu Mwisho wa Dunia ni 20-12-2012..punguza kiherehere cha mwisho wa Dunia

Ni 22-12-2012 mkuu. Mi naenda zangu home unikutie huko kuliko unikutie hapa Dar.
 
user-online.png
Muarubaini nina mashaka na umri wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom