simuelewi mwenzangu..

Simply

Senior Member
Oct 13, 2012
130
30
Salamu wakubwa JF
Mm ni kijana wa kiume nina mpenzi wangu nampenda lakini simuelewi kabisa, tunapokutana we do kiss a lot(French +English ) and do all stuffs but ninapotaka kuchomeka dushelele anaishika, eti Mimi bikra,.
juzi nimemweleza live I want sex and she said No,
I'm now thinking of break-up maana nahisi nachezewa mchezo hapa.
....ushauri please majungu baadae
 
Mmh kwahiyo kahakupi mzigo hana nafac kwako?lengo la uhusiano wenu ni k tu ama kuna mengine?
 
kha!! umenikumbusha mbali sana...mie nae hayo yalinitokea. mwana sepa fasta hapo full usanii...hamna shida ya kutegwa alafu usipeme utamu...kwani yupo mwenyewe mwenye K. piga chini huyo. tafuta junk lady faster lol
 
Kumbe ushafika mshauri dogo,mbona hata dog anayo hyo k?
kha!! umenikumbusha mbali sana...mie nae hayo yalinitokea. mwana sepa fasta hapo full usanii...hamna shida ya kutegwa alafu usipeme utamu...kwani yupo mwenyewe mwenye K. piga chini huyo. tafuta junk lady faster lol
 
kha!! umenikumbusha mbali sana...mie nae hayo yalinitokea. mwana sepa fasta hapo full usanii...hamna shida ya kutegwa alafu usipeme utamu...kwani yupo mwenyewe mwenye K. piga chini huyo. tafuta junk lady faster lol

ka yupo mmoja humu ani-pm, age btn(18-25), sihitaji longolongo
 
hayaaa!!! hapa ndio utabugi kabisa. hapa jf ni kwa wanawake smart hawatoi utamu kama karanga dogo ebu waache kabisa. wewe huko hiko mtaani mwana mbona watoto wa chips yai soda wapo kibao...unajibatulia kwa raha no story ndefu. hawa wa hapa jf watakupa headache
 
Wewe mshamba poli we umeambiwa mapenzi ni K2 na kama kweli yuko bkra na anaona we hauko serious aharibu cv yake kwa tamaa yako2. we anzisha muache mtoto wa watu salama Eeeeeeeeeee umesikia.
 
Usitushirikishe kwenye zinaa yako hatutaki lawama siku utakayokwama homa na dot com
 
hayaaa!!! hapa ndio utabugi kabisa. hapa jf ni kwa wanawake smart hawatoi utamu kama karanga dogo ebu waache kabisa. wewe huko hiko mtaani mwana mbona watoto wa chips yai soda wapo kibao...unajibatulia kwa raha no story ndefu. hawa wa hapa jf watakupa headache
Smart ladies need smart guys, I need no dump ass2
 
Back
Top Bottom