Simuamini tena rafiki

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Habari wana jf naomba kushare na ninyi kisa hiki maana kishanikuta zaidi ya mara moja

Wakati nipo shule ya msingi ndio balehe zinaanza anza nikatokea kumpenda binti fulani sasa si unajua mazingira ya kijijini tena nikaenda kumtonya mdau wangu wa karibu tukaenda kuchimba mzizi ili demu anase nile mzigo

Kumbe huku nyuma jamaa kanizunguka kaenda kumtell demu kila kitu kwamba nataka nimroge anapende Dah kilichotokea sasa
Demu kaita rafiki zake nilisutwa hadi nikaumwa wiki 3

Haikuishia hapo ndipo kaingia zangu form one mzee mm ndio mm kama kawaida nikasahau yote nikapata demu mwingine niwatel washikaji zangu wawili weekend mmoja kaenda kunikandia kwa demu dah siku natema madini demu ananisikilizaaaa halafu ananiambia we si umekula fulani na tunasikia ana UKIMWI

Nilikula kweli huyo demu ila wahuni ndio hadi kumwambia demu nikapima mara 3 nikakutwa sina. Kutokana na ununda ikabidi mzazi anihamishe shule nikaenda mbali huko

Kizaa zaa kikaanga baada ya kwenda mkoa wa wahaya pisi za kinyarwanda kinyankole kinyambo kihaya wanyangara na wengine mchanganyiko kama wote pisi kali kali tupu

Kwa Kuwa nilikuwa narudia form one nikawa kichwa hatari. Nikapata demu mwingine wa kinyarwanda kosa lile lile nikamwambia mdau
Picha linaanza akaanza kuniambia kwamba demu mchafu mara haogi ananika. Siku nyingine ananiletea vibarua yule demu anatumiwa na wadau hadi mmoja tukagombana

Siku moja akaniambia Oya kaka huyo huyo demu hakufai nikamwambia poa nikatemana naye
Kutokana mambo ya average na nn demu akahama

Baada ya demu kuhama akaniambia Oya kaka yule demu ilibaki kidogo nimtoooo tootooo tooo kumbe alitumia DEVIDE and rule yan katuachanisa halafu kakonka koloni

Baada kama ya miaka 10 hivi nikapata mawasiliano ya yule demu akaniambia sasa kwamba jamaa alitupa voko ila huyo demu kwa sasa ameshaolewa ila nina mpango wa kupasha kiporo nile. Jinamizi likazidi kuniandama nikapata demu mwingine hapo hapo muhuni nikafungua njia yan huyu demu ndio funga kazi kabisaaa

Baada ya kusoma pale miaka miwili nikahama shule nikaenda shule nyingine nikapata mali ya singida chombo safiiiii sasa iyo siku nimepanga kumwaga vesi nikakutana na kisanga cha adhabu si unajua tena shule za jeshi demu akanisubir class hadi akaondoka mwamba nimepewa eneo la kuvyeka huku na kule

Nikampanga tena akajaa ilikuwa jumapili muhuni nikapiga mambo yangu safiii nikakutana na demu nikamwaga vesi demu akasema nimpe muda kumbe pacha wangu aliniona akaniambia demu anatiwaga madole maabara na kwenye debate halafu ni cha wote nikapiga chini mzee kuja kugundua kumbe mwamba alitaka nikazane na kusoma niache mambo ya mademu

Nikaingia zangu level nyingine nikapata demu msela wangu akanipokonya tonge mdomoni baada ya kuona demu anazingua kumbe alikuwa ananipima tu mdau akasema akijileta tena kataa kweli nikakataaa kwa kujua labda demu anaringa sana baadae toto likaanza kuwa toto kweli si unajua tena mali ikiwa kwa msela

Jamaa aliyeniambia nitemane naye akajinyakulia zake headgirl me nikawa nakomaa na ndoto nyevu tu

Kisanga kikaja kwa yule demu ambaye nilifungua njia sasa nikawa naenda mwanza show show. Picha linaanza akapangiwa single sex akajichanga akapata mimba ili asifukuzwe ikabidi atoe

Nipo naenda zangu mkoa wa wahaya akaniambia nipitie mwanza kumbe alipotoa mimba hakusafisha vizuri siku nikalala Nyegezi siku mbili sasa nikafikia kwa mdau nikampa namba ampe zawadi zangu muhuni akalamba na mzigo kabisa

Demu akafika chuo bahati mbaya nikampa namba ya mdau wangu tuliyefahamiana kwenye ugomvi wa demu primary demu akanitamkia hanitak halafu naona mastatus wapo wote Dah hadi night kali mdau kukutana likizo kijijini anampaka demu matope nikajua tu yale yale baadae demu wa jamaa wa kijijini analia upendo umepungua halafu haoni status za jamaa nikasema kimeuma tayar

Kwa sasa mimi nimeamua kujilia mademu walionizidi umri tu na wale za watuhawa wadogo wasumbufu

NILICHOJIFUNZA
*Usikilize moyo wako katika swala zima la mapenzi
*Sio kila mtu ni wa kumuomba ushauri wa mahusiano yako wengine ni
*Kabla hujaamua kuachana na mpenzi wako chunguza kwanza mwenyewe
*Usikubali kila mapungufu unayoambiwa na watu kuhusu mpenzi wako
*Tamaa ya wanawake haotakufikisha popote zaidi utajipa magonjwa tu
*Mke wa mtu sumu maana nimenusurika kipigo kama mara 2 hivi
 
Ukinishirikisha mie kwa wanawake zako sitokuzunguka mkuu! Nipe koneksheni
 
Ni bora ulisutwa na kuugua kuna mademu wengine wanakuitia wanaume wenzako wakufile, una bahati sana kijana.....nyege hizi za utotoni zitawaua shauri yenu.
 
Napenda kujua ulishia darasa la ngapi? Maana inaonekana badala ya kusoma ulikuwa unashinda na mambo ya pisi kali
 
Una utoto mwingi
Hujui hata maana ya privacy
Hv unawaambia hao watu kuhusu mpenz wako ili iweje
One more thing acha kuona kila mtu rafiki yako
 
Kwa hiyo wewe kila ukijenga nyumba jnaishia kwenye renta...
 
Habari wana jf naomba kushare na ninyi kisa hiki maana kishanikuta zaidi ya mara moja

Wakati nipo shule ya msingi ndio balehe zinaanza anza nikatokea kumpenda binti fulani sasa si unajua mazingira ya kijijini tena nikaenda kumtonya mdau wangu wa karibu tukaenda kuchimba mzizi ili demu anase nile mzigo

Kumbe huku nyuma jamaa kanizunguka kaenda kumtell demu kila kitu kwamba nataka nimroge anapende Dah kilichotokea sasa
Demu kaita rafiki zake nilisutwa hadi nikaumwa wiki 3

Haikuishia hapo ndipo kaingia zangu form one mzee mm ndio mm kama kawaida nikasahau yote nikapata demu mwingine niwatel washikaji zangu wawili weekend mmoja kaenda kunikandia kwa demu dah siku natema madini demu ananisikilizaaaa halafu ananiambia we si umekula fulani na tunasikia ana UKIMWI

Nilikula kweli huyo demu ila wahuni ndio hadi kumwambia demu nikapima mara 3 nikakutwa sina. Kutokana na ununda ikabidi mzazi anihamishe shule nikaenda mbali huko

Kizaa zaa kikaanga baada ya kwenda mkoa wa wahaya pisi za kinyarwanda kinyankole kinyambo kihaya wanyangara na wengine mchanganyiko kama wote pisi kali kali tupu

Kwa Kuwa nilikuwa narudia form one nikawa kichwa hatari. Nikapata demu mwingine wa kinyarwanda kosa lile lile nikamwambia mdau
Picha linaanza akaanza kuniambia kwamba demu mchafu mara haogi ananika. Siku nyingine ananiletea vibarua yule demu anatumiwa na wadau hadi mmoja tukagombana

Siku moja akaniambia Oya kaka huyo huyo demu hakufai nikamwambia poa nikatemana naye
Kutokana mambo ya average na nn demu akahama

Baada ya demu kuhama akaniambia Oya kaka yule demu ilibaki kidogo nimtoooo tootooo tooo kumbe alitumia DEVIDE and rule yan katuachanisa halafu kakonka koloni

Baada kama ya miaka 10 hivi nikapata mawasiliano ya yule demu akaniambia sasa kwamba jamaa alitupa voko ila huyo demu kwa sasa ameshaolewa ila nina mpango wa kupasha kiporo nile. Jinamizi likazidi kuniandama nikapata demu mwingine hapo hapo muhuni nikafungua njia yan huyu demu ndio funga kazi kabisaaa

Baada ya kusoma pale miaka miwili nikahama shule nikaenda shule nyingine nikapata mali ya singida chombo safiiiii sasa iyo siku nimepanga kumwaga vesi nikakutana na kisanga cha adhabu si unajua tena shule za jeshi demu akanisubir class hadi akaondoka mwamba nimepewa eneo la kuvyeka huku na kule

Nikampanga tena akajaa ilikuwa jumapili muhuni nikapiga mambo yangu safiii nikakutana na demu nikamwaga vesi demu akasema nimpe muda kumbe pacha wangu aliniona akaniambia demu anatiwaga madole maabara na kwenye debate halafu ni cha wote nikapiga chini mzee kuja kugundua kumbe mwamba alitaka nikazane na kusoma niache mambo ya mademu

Nikaingia zangu level nyingine nikapata demu msela wangu akanipokonya tonge mdomoni baada ya kuona demu anazingua kumbe alikuwa ananipima tu mdau akasema akijileta tena kataa kweli nikakataaa kwa kujua labda demu anaringa sana baadae toto likaanza kuwa toto kweli si unajua tena mali ikiwa kwa msela

Jamaa aliyeniambia nitemane naye akajinyakulia zake headgirl me nikawa nakomaa na ndoto nyevu tu

Kisanga kikaja kwa yule demu ambaye nilifungua njia sasa nikawa naenda mwanza show show. Picha linaanza akapangiwa single sex akajichanga akapata mimba ili asifukuzwe ikabidi atoe

Nipo naenda zangu mkoa wa wahaya akaniambia nipitie mwanza kumbe alipotoa mimba hakusafisha vizuri siku nikalala Nyegezi siku mbili sasa nikafikia kwa mdau nikampa namba ampe zawadi zangu muhuni akalamba na mzigo kabisa

Demu akafika chuo bahati mbaya nikampa namba ya mdau wangu tuliyefahamiana kwenye ugomvi wa demu primary demu akanitamkia hanitak halafu naona mastatus wapo wote Dah hadi night kali mdau kukutana likizo kijijini anampaka demu matope nikajua tu yale yale baadae demu wa jamaa wa kijijini analia upendo umepungua halafu haoni status za jamaa nikasema kimeuma tayar

Kwa sasa mimi nimeamua kujilia mademu walionizidi umri tu na wale za watuhawa wadogo wasumbufu

NILICHOJIFUNZA
*Usikilize moyo wako katika swala zima la mapenzi
*Sio kila mtu ni wa kumuomba ushauri wa mahusiano yako wengine ni
*Kabla hujaamua kuachana na mpenzi wako chunguza kwanza mwenyewe
*Usikubali kila mapungufu unayoambiwa na watu kuhusu mpenzi wako
*Tamaa ya wanawake haotakufikisha popote zaidi utajipa magonjwa tu
*Mke wa mtu sumu maana nimenusurika kipigo kama mara 2 hivi
Bora ww marafiki, mm ndugu tena unakuta wadamu kabisaaa umezaliwa nae baba na mama mmoja, Sijawahi kufanikiwa jambo langu nikimshirikisha ndugu lazima nizinguliwe tu..

Ilifika kipindi mpaka nikaenda kuoa mke wa pili mwenyewe, Ndugu walipojua ikawa balaa nikaamua kuwaachia....Nilishadate na binti miaka tisa siku alipoomba namba ya dada yangu na mapenz yalikufa.....!Tena alikuwa mjamzito hakuwahi kunitafuta tena...

Nilishaamua kujikubali mwenyewe mambo yangu napambana mwenyewe,Nina rafiki mmoja tu ambaye hajawahi kuniangusha nae nilishaapa kutomuangusha ila wengine nilipiga chini...!
Nampenda kama ndugu yangu,tunaheshimiana ingawa tumepishana imaan....!

Kiufupi dunia ina vizingiti vingi na roho za watu ziko tofauti,
 
Back
Top Bottom