Simu zinauzwa.... Bei poa kabisa!

baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
165
Blackberry Curve 8520 - Tshs. 250,000
Nokia E72 - Tshs 250,000
Nokia E63 - Tshs. 200,000

TUWASILIANE: 0655-003510
 

Attachments

  • bb-curve-8520.jpg
    bb-curve-8520.jpg
    15.4 KB · Views: 92
  • NokiaE72.jpg
    NokiaE72.jpg
    26.4 KB · Views: 88
  • Nokia-E63.jpg
    Nokia-E63.jpg
    29.2 KB · Views: 90
ni mpya au zimetumika,uko wapi, mkuu hebu toa maelezo ya kujitosheleza kabla hatujakupigia
 
ni mpya au zimetumika,uko wapi, mkuu hebu toa maelezo ya kujitosheleza kabla hatujakupigia
ebana hapo zipo mpya na used, manake nna pcs nyingi tu... me napatikana sinza opposite na mlimani city so unaweza nicheki ili uzione.
 
Kwani hiyo link ya jigambeads ni nini kwasababu nimeifungua cjaielewa hebu nipe ufafanuzi kwa ufupi maanake nimekuta kuna sehemu imeandikwa advertiser na publisher naona kama itanisaidia kwenye biashara yangu.
Tanzaniakwetu
 
Mkuu,<br>I have 180,000/-tshs for blackberry kama upo interested !
 
<br />
<br />
MI N'NA 200,000 HIYO BLACKBERRY NIKULETEE KESHO HAPO SINZA
kaka blackberry nimemaliza jana, ila mzigo mwingine unaingia tarehe 25 so tunaweza au uwe unazungukia hapa ntatoa tangazo tena boss. shukran kwa kunichek
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom