Hawa ni marafiki. Mayala, Liongo na Mungi. Wamekaa meza moja kwenye mkutano wa World Press Freedom Day hapa Mwanza, lakini kila mtu yuko busy na simu yake ya mkononi, hawazungumzi pamoja na kuwa meza moja.
View attachment 344091
Sitanii, je, tutafika kwa mwendo huu? Ujadiliane.
View attachment 344091
Sitanii, je, tutafika kwa mwendo huu? Ujadiliane.