Elections 2010 Simu za wabunge wapya wa CHADEMA

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
Sasa tuanze kazi na wabunge wetu bila kusubiri.

Wabunge wa wetu upinzani hasa CHADEMA watahitaji taarifa kwa wingi yaani wawe informed kuliko maelezo.

Tujipange jinsi tutakavyowasaidia kuwasiliana nao kwa lolote tunalodhani wanahitaji kama taarifa. Tukusanye namba zao za simu na mkikubali JF iweke forum inayoonyesha namba za simu za wapinzani.

Vilevile kuwe na email zao za yahoo, hotmail yaani zile ambazo haziingiliwi na Internet Provider yeyote wa Tanzania {mfano: slaa@yahoo.com na hatutaki zenye slaa@bunge.co.tz}.

Hebu tujikumbushe thread ifuatayo tulivyohangaika kuwatafuta CHADEMA kuwajulisha matukio mbalimbali ya kuwanufaisha:

(https://www.jamiiforums.com/matukio/82217-pokea-namba-za-chadema-wajulishe-ya-kituoni.html).

Tusiogope watakaotumia vibaya namba hizo kwani hata kwenye kampeni tumeona namba zisizosajiliwa zikitutumia simu zetu bila utashi wetu:

Mimi naijua ya John Mnyika tu nimeijaza kama ifuatavyo na wengine tusaidie kupata za wengine:
***
01: John Mnyika: { Simu: 075-4694553, 078-4222222}: {Email(s): mnyika@yahoo.com}, {Jimbo: Ubungo}
02: Zitto Kabwe: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: Kigoma Kaskazini}
03: Halima Mdee: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: Kawe}
04: Tundu Lissu: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: }
05: John Shibuda: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: }
06: Ezekeh Wenje: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: Nyamagana}
07: Joseph Mbilinyi: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: }
08: Vincent Nyerere: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: Musoma Mjini}
09: Joseph Selasini: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: Rombo}
10: Peter Msigwa: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: Iringa Mjini}
11: Hyness Kiwia: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: Ilemela}
12: Salvatory Machemuli: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: Ukerewe}
13: David Silinde: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: Mbozi Magharibi}
14: Anthoni Mbasa: { Simu: }: {Email(s): }, {Jimbo: Biharamuro Magharibi}
***
 
wazee namba za cm za nini kama si ulimbukeni mmeahidiwa hizi ahadi nanyi mmezikubali subirini wazitekeleze sasa mbona mnataka kuwasumbua tena
 
wazee namba za cm za nini kama si ulimbukeni mmeahidiwa hizi ahadi nanyi mmezikubali subirini wazitekeleze sasa mbona mnataka kuwasumbua tena

Wewe ni yule wa Tarime? halafu inaonekana huna nidhamu. Punguza pumba la sivyo tutakuweka kwenye list ya wajinga.
 
Kwa sasa tuache kwanza kupata njia za mawasiliano manake mafisadi wataharibu maana nzima ya zoezi lenyewe. Kukurukakala za uchaguzi zikitulia ndipo mambo ya namna hii yanaweza kufanyika.
 
hata mimi ninapendekeza tuache kwanza maana sasa ni vigumu wao kujua maadui na rafiki zao.
 
privacy yao italindwaje? Nadhani wawe na spam emaik ambazo watatumia kama first contact na kama una hoja anakujibu kwa real email ili kuepuka spamming. Vivyo hivyo kwa mobile
 
wazee namba za cm za nini kama si ulimbukeni mmeahidiwa hizi ahadi nanyi mmezikubali subirini wazitekeleze sasa mbona mnataka kuwasumbua tena

we nyangni inakuhusu? Si uendeleze street university yako?
 
namba za simu zitatumiwa vibaya na ccm ambao wanajifanya ccm ambao hata kwenye jamvi hili tumewashitukia wanajifanya wanatoa ushauri kwa chadema kumbe unafiki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom