Walionunua simu Tigo inabidi wadhibitishe kama ni genuine. Huwa nanunua simu zangu tigo kujiepusha na kununua simu fake kariakoo na mjini. I was shocked jana kukuta simu nilizonunua Tigo sio genuine na mwezi wa Sita zitaacha kufanya kazi.
Hili neno genuine kwa hapa lina maana gani? Simu zenyewe ni Huawei.
Naomba maoni yenu wakuu.
Hili neno genuine kwa hapa lina maana gani? Simu zenyewe ni Huawei.
Naomba maoni yenu wakuu.