Simu za Rais haziwi screened, Liyumba aenda hewani toka gerezani

so jamaa kabakiza miezi saba tu atoke

KINA NANILIU WANAOPENDA DEZO WATAANZA TENA MABINTI WA MJINI BANA BADALA MTU UTOKE JASHO UPATE CHAKO UNATAKA SLOPE NA WANAJUA KABISA HUYU DINGI ANAMATATIZO YA KIUFUNDI WAO WAKO RADHI TUU ILIMRADI AENDESHE SPACIO HAHAHAHA WAKATI WA NEPI NDO WANAUMBUKAGA! MADADA CHAPENI KAZI ACHENI UPUMBAV

Mbona kama unaongea toka moyoni?

watakua wanajua tu, kwan cm anachaji wapi?au selo zina socket? Huu ni uzembe wa wazi tu.

KWA MTU KAMA AMATUS LYUMBA UNAWEZA KUTA ANAMAISHA YA RAHA TU,ANAKULA MSOSI WA HOME,ANALALA PAZURI ANA SIMU NA KAMA NI MTU WA MOJAMOTO MOJA BARIDI ANAKAMUA KAMA KAWA,PESA NI SABUN YA ROHO ATII

To me hii inaonyesha ni namna gani JK mwenyewe alivyo mwepesi kiasi kwamba a felon tena akiwa ndani ya gereza anampigia sm! The only reason he could do that ni kwa sababu anafahamu jamaa hana noma. Where is the respect for the presidency???????????? Hivi huyu jamaa hata kama alikuwa karibu say na Mkapa angethubutu kufanya hilo?

Very well said!!! Mtu ameshakuwa convincted tena kwa makosa kama hayo ya Liumba na bado anauwezo wakumpigia raisi simu!!!!????. Mmh kweli walikuwa watu wakaribu. Birds of the same feathers.............

Halafu oohh Kikwete hafanyi kazi, mngemuona Liyumba jela kama si Kikwete?

Watanzania tumebeba mizigo mingi ikiwemo ya viongozi, hivyo kuitetea mizigo ya nchi ni kuendelea kutubebesha watanzania kutuumiza! Nenda kaombe posho kwa kazi hiyo FF!

Huu ni uzembe mkubwa kwani haiwezekani kwa mfungwa kumiliki simu akiwa gerezani,kama walimpa au ni halali mfungwa kuwa na simu mbona wengine hawana simu? hakika wakuu wa gereza husika wachukuliwe hatua hiyo simu ilipitaje mlangoni wakati mfungwa anapoingia gerezani anapekuliwa?Pia watu wa Ikulu wanapwaya tena wanachusha na kuchosha inakuwaje mawasiliano kwa rais yawe rahisi kiasi hiki.Hakika nchi inakwenda pabaya hata kwa usalama wake

Akamatwa na simu ndani ya gereza akiwa mfungwa huku sheria za nchi zikiwa zinazuia kitendo hicho!

Bosi aliyekuwa anawasiliana naye kuhusiana na rufaa yake ndiye aliyemchoma kwa maafisa wa jeshi la Magereza baada ya kuchoshwa na namna alivyokuwa anamsumbua kuhusiana na rufaa yake!

Atolewa mahabusu na kwenda kuhojiwa kituo cha police...

SOURCE: WAPO FM

itapendeza kama tutaambiwa na TCRA nini walichozungumza na mkulu. alivyomwepesi wa kusahau, atajikuta karopoka pumba zake mara oh wamekuonea, mara oh unajua tunataka kujisafisha.

huu ni usanii.yaan mkulu na hao TISS na PCCB wanaendeshaje nchi?ilitakiwa bwana jela,kamishna magereza wajieleze na sio kumpeleka Amatus kuhojiwa.ni uzembe ulio dhahiri hata mh Nahodha anatakiwa kuchuka hatua kwa maafisa wake...hongera liyumba kumuonyesha mkuu kuwa pakacha linavuja

Very well said!!! Mtu ameshakuwa convincted tena kwa makosa kama hayo ya Liumba na bado anauwezo wakumpigia raisi simu!!!!????. Mmh kweli walikuwa watu wakaribu. Birds of the same feathers.............

Watanzania tujiulize kitu kimoja tu hapa. Je kama ni kweli alikuwa anampigia rais simu, Je alikuwa anataka kumwambia nini?????? Jamanniiiiii amkeniiii.

huu ni usanii.yaan mkulu na hao TISS na PCCB wanaendeshaje nchi?ilitakiwa bwana jela,kamishna magereza wajieleze na sio kumpeleka Amatus kuhojiwa.ni uzembe ulio dhahiri hata mh Nahodha anatakiwa kuchuka hatua kwa maafisa wake...hongera liyumba kumuonyesha mkuu kuwa pakacha linavuja
Hata mimi naamini hapo tatizo sio Liyumba kuwa na Simu bali ni Mfumo. Msimamizi wa mfumo wa magereza ndie anayewajibika katika kuhakikisha sheria na taratibu zinafuatwa. Hapa uwajibikaji unaanzia juu na sio chini kama wanavyotaka. Nchi hii inamatatizo ya watu kuangalia dalli na si chanzo na asili ya dalili husika.

Halafu oohh Kikwete hafanyi kazi, mngemuona Liyumba jela kama si Kikwete?
Faiza you are not serious, Suala la Liyumba ni dogo saana katika mengi na ambayo ni makubwa kusema Mheshimiwa rais Kikwete anafanya kazi. Kama Kagoda, Rada, Posho za chakula za askari, Ngereja effect, tume ya uchaguzi na mengine km hayo. So watch out!!!

Back
Top Bottom