Simu za Rais haziwi screened, Liyumba aenda hewani toka gerezani

Kalaghabaho!. Mzee wa visasi. Liyumba alikuwa mashine tata..alilamba vidosho vya jemedari..jk mwenyewe..ndo maana akamkomesha..ukitaka unyee debe fasta nyemelea vibinti vya "baba"..zengwe mapema,keko!
Kama Babu SEYA.

Hao maaskari magereza najua sana kuwa watu wanasimu,pesa nk huko gerezani.Kama hajui alikuwa anapata wapi salio?anachaji wapi hiyo simu?Lazima hapo kuna deal na hao maafisa wa magereza.JK wapige chini ili iwe fundisho kwa maafisa wengine wenye tabia kama hiyo.

Hao Liyumba na JK wanajuana sana sana wote wazee wa totos...wamewasiliana muda mrefu sana sasa JK ameona anazidi ku ku
Anazidi kumsumbua akaamua kumchoma
Anawaribia wenzake wooye walioa magereza....ambao wanaomba favor za simu!!

Wakati Nyari yule mfanyabiashara wa madini ya tanzanite alipokamatwa kwa ujambazi tulisikia alihamishiwa gerezani na vyombo vyake vya ndani.
Chumba chake kiligeuzwa hoteli ya kisasa.Aliweza pia kuonekana na EL dodoma bungeni wakati akiwa bado gerezani.
Huo ndio UONGOZI wetu na VYOMBO vyetu vya usalama vilivyo.

Halafu oohh Kikwete hafanyi kazi, mngemuona Liyumba jela kama si Kikwete?

Mbona tena leo magazeti yana sema JK anaongea na liyumba huko gerezani we huoni hapo ni filimeeee fulll live bila chenga??????

Magereza ya wapi yanaruhusu simu? Labda ya kuzimu! Kama ni ulaya na Marekani simu ni marufuku,mfungwa anaruhusiwa kuongea na simu kwenye sehemu maarumu kwa rukhsa toka kwa maafisa wa magereza,tena simu zenyewe za magereza!
Mkuu, Magereza ya Ulaya simu wanaruhusiwa kwa mfano nchi za Scandinavian, Denmark, Sweden, kila wiki wafungwa wanapewa simu waongee na jamaa zao

Mkuu, Magereza ya Ulaya simu wanaruhusiwa kwa mfano nchi za Scandinavian, Denmark, Sweden, kila wiki wafungwa wanapewa simu waongee na jamaa zao

Tupo pamoja mkuu' ndio maana nikasema wanaruhusiwa kwa rukhsa maalumu' siyo full kuchart muda wote! Mbona kule hata kuwa faragha na wapenzi/wake ni rukhsa! ILA NI KWA RUKHSA MAALUMU!

Huyu Bwana Liyumba amewatenda sana dada zetu, acha tu mkono wa dola ufanye kazi zake, ila tumuombee akitoka huko awe raia mwema.

Kama Rais kapigoiwa simu mwezi wa saba, mtuhumiwa kakamatwa mwezi wa tisa, inahitaki karibu miezi miwili kutafuta ushahidi wa kumtia hatiani???

hawa jamaa mi naona wanataka kutuonesha kuwa jamaa bado anakubalika au kashasahaulika..

DU Ma-playboy kazi kwelikweli iko siku yataisha maana na vimwana nao hawaachi kujipitisha, hata akitoka na walimwinamisha huko gerezani badi vimwana watamfuata kwa ujiko tu. Cha ajabu hata magazeti kama kweli wametoa hizo taarifa leo basi, hakuna usiri na ya Babu Seya tutayasikia tu.

Hivi shida ni mfungwa kuwa na access ya simu akiwa gerezani au kumpigia JK imekuwa nongwa? Nmba ya JK mbona aliiweka wazi kila anyetaka ampigie; tena hili tuliwa kulijadili sana humu jamvini na namba zenyewe zikatolewa,

Halafu oohh Kikwete hafanyi kazi, mngemuona Liyumba jela kama si Kikwete?
i

Wizi wazaidi ya 200million eti miaka 2 jera afu hapo hapo Mkaka kijijini Bubuya aliyeiba ka kuku akakaa jera miaka 7.Hapo hapo jamaa ana simu jera na Mkaka anakalia chupa ya fanta na kulala na mtondoo. Kikwete amefanya ni i hapo? Tuseme wewe una ugonjwa wa akili au? Na kagondaje? Usisahau yule mtu wake anayetuhumiwa kuwa na Trillion 3 wakati nchi inachakachua noti mpya bila kubadilisha ili ziingie kwenye mzunguko ikiwa ni kufidia tundu la uchaguzi.

Hivi shida ni mfungwa kuwa na access ya simu akiwa gerezani au kumpigia JK imekuwa nongwa? Nmba ya JK mbona aliiweka wazi kila anyetaka ampigie; tena hili tuliwa kulijadili sana humu jamvini na namba zenyewe zikatolewa,

Ni kosa la jinai kwa mfungwa kumiliki simu akiwa gerezani!

THEN WHAT??? IN SHORT JAMAA ANAWEZA KUPOTELEA HUKOHUKO UKONGA!!! SIJUI WANAGOMBEA NINI HAWA??? MAKE NASHANGAA MAFISADI ZAID YA LYUMBA WAPO KITAA WANAJIACHIA YEYE HUKOHUKO ANAONGEZEWA MAKOSA ASEE!TENA ANA BAHATI ANAZO KIDOGO ANGEKUWA KM BABU SEYA LIFE SENTENCE
mwambie kakako abebe demu wa mkwe're ndo utaelewa kwa nini Liyumba yupo ndani

i

Wizi wazaidi ya 200million eti miaka 2 jera afu hapo hapo Mkaka kijijini Bubuya aliyeiba ka kuku akakaa jera miaka 7.Hapo hapo jamaa ana simu jera na Mkaka anakalia chupa ya fanta na kulala na mtondoo. Kikwete amefanya ni i hapo? Tuseme wewe una ugonjwa wa akili au? Na kagondaje? Usisahau yule mtu wake anayetuhumiwa kuwa na Trillion 3 wakati nchi inachakachua noti mpya bila kubadilisha ili ziingie kwenye mzunguko ikiwa ni kufidia tundu la uchaguzi.
duhu!!!!

Back
Top Bottom