Simu za Rais haziwi screened, Liyumba aenda hewani toka gerezani

Hii yaweza kuwa ni fitina ya J.K ya kuendelea kumpika Liyumba mpaka atoil humo gerezani,wanataka kusema hata akina Mramba kweli walikuwa korokoroni bila ya kuwa na simu zao ama kuna jambo hapa...hili inchi hovyoooooooo!

Kuna kitu kipo hiden hapa! Mawasiliano ya rais na liyumba inawezekana sio ya leo ni tangu mda mrefu, sasa inawezeka kuna kitu wamepishana tu jamaa kaamua kumchomea kwa maafwande!!

YEEH NA JK ANAVYOPENDA VISASI LIYUMBA ANAWEZA KUONGEZEWA TENE 5 YRS OHOO

Hapa kuna tatizo na magezeza zetu. Mfungwa ana miliki simu hawajui. Hapa kuna usanii. Wachunguzwe vizuri.

akitoka atakua kama KINGUNGE

THEN WHAT??? IN SHORT JAMAA ANAWEZA KUPOTELEA HUKOHUKO UKONGA!!! SIJUI WANAGOMBEA NINI HAWA??? MAKE NASHANGAA MAFISADI ZAID YA LYUMBA WAPO KITAA WANAJIACHIA YEYE HUKOHUKO ANAONGEZEWA MAKOSA ASEE!TENA ANA BAHATI ANAZO KIDOGO ANGEKUWA KM BABU SEYA LIFE SENTENCE

Serikali legelege, Rais legelege, Sheria legelege, Usalama wa taifa legelege.

jamaa anajipendekeza kwa rais ampe huruma ya kusamehewa kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru ambapo idadi kubwa ya wafungwa inatarajiwa watasamehewa na jk ktk maadhimisho ya miaka 50 haijawahi kutokea kwa idadi hiyo!

mh,kweli jamaa wamempania. mbona wafungwa wa magereza yetu huwa wanapata upendeleo mwingi tu ilimradi anacho? mtu anafungwa miezi kadhaa, anakula chakula cha nyumbani kila siku! sidhani kama simu huwa ni issue huko kama uko vizuri. na kweli anaweza kufungwa tena 10 yrs kwa kukiuka taratibu,jamaa angetubu tu watz tukamuonea huruma manake ...

Hata hiyo miezi sita michache sana. Afungwe hata 50yrs watu wa aina yake hatuwataki uraian.

kweli watu wa ulinzi wa nchi hii wamelala, yaani mpaka mfungwa anamiliki vitu kama hivyo na bado walikuwa hawajui?!!!

Hapo ilibidi na hao askari wawajibishwe,lakini kwa nchi yetu ilivyo wanaweza kupandishwa vyeo na kupewa donge nono.

Hapa kuna tatizo na magezeza zetu. Mfungwa ana miliki simu hawajui. Hapa kuna usanii. Wachunguzwe vizuri.

Mkuu' kwa mujibu wa taarifa Maaskari Magereza walikuwa wanajua! Kilichofanya issue ibumbulike ni wakubwa aliokuwa anawasiliana nao bwana Liumba kuchoshwa na usumbufu wake! Hofu yangu ni kuwa Liumba atakuwa analala kwenye kitanda cha sita kwa sita,huku akila chakula anachotaka na atakuwa amepewa na house girls kabisa huku akifanya mambo na mkewe kila anapotaka!

Back
Top Bottom