Simu za mkonooni na wizi wa kimachomacho

Mbunge

Senior Member
Aug 7, 2008
104
10
BAADHI ya watumishi wa simu za mkononi inaelekea wameanzisha biashara mpya isiyo na kodi nayo ni kukata muda wa maongezi mtu aliolipia na kuuhamishia kwenye simu au zana nyingine za kitahama ili kujinufaisha wao binafsi na sio mteja wala mwajiri wao...

Mkiwa na teknolojia inawashinda mameneja wenu, hayo ndiyo matokeao.
 
airtel nimeangalia balance sh 192 nimepiga simu ikakata ikasema nimetumia sh52.napiga tena salio sina limeisha
 
kweli airtel wanaongoza mi.huwa naweka hata hela siitumii baada ya.muda nakuta imeisha mpaka naogopa kuweka
 
Hivi kwanini wasije na unlimited plans? .... hizo ndiyo zenye faida, wafanye 75,000 kwa mwezi unlimited calls and txts.
 
Msada wa TCRA kwa watumiaji wa hizi huduma ni mdogo sana, ni kama haupo vile. Sijui wana maslai gani?
 
Huu mtandao wa airtel ni wezi wa kuogopwa kama ukoma. Jana wamekula buku 2 yangu kwa kuwasiliana na watu wawili kwa muda usiozidi dk4 tu buku mbili kwisha. Ni majuzi tu wametutangazia tunaweza ku-call kwa Tsh.2 kwa sekunde kwenda mitandao yoteTz. Kiukweli airtel mnaboa sana.
 
juzi nimepigiwa, Eti, Napiga cmu kutoka tiGO kitengo cha bima. Jina kwenye system ze2 limeandikwa Sophia mwakipesile, Kama sio jina lako nitajie jina lako kamili. nikaachia bonge la m2c. akakata! then haipatikani. Tigo hua wana2maga vimeseji cjui matumizi yako ya mwezi yamekupa Bima cjui shingapi, sasa matapeli wana2mia Huo uzembe wa TiGo kuibia watU.
 
Back
Top Bottom