Simu za Makamanda wa Polisi Mikoa yote hizi hapa

Abiria huwa mnazingua sana pindi gari inapoharibika lawama kwa dereva kana kwamba yeye kataka liharibike jamani na sisi huwa tunapenda kuendesha chombo kikiwa ki zima ila ndiyo hivyo gari kuharibika ni kawaida ila wengi wenu huwa mnaenda mbali kutaka kutushushia kichapo sasa leo pambaneni na hilo gari
 
gari sio lako lakin dereva utasimangwa mpk ukome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAMBA ZA MAKAMANDA WA POLISI
MKOA NAMBA ZA SIMU
ARUSHA 0715 009 912
MWANZA 0715 009 949
KIGOMA 0715 009 915
RUKWA 0715 009 954
KAGERA 0715 009 916
ILALA 0715 009 980
KATAVI 0715 009 957
MOROGORO 0715 009 946
DODOMA 0715 009 914
MBEYA 0715 009 931
KILIMANJARO 0715 009 923
PWANI 0715 009 953
MTWARA 0715 00 99 48
SHINYANGA 0767 508 090
MANYARA 0715 009 929
NJOMBE 0658 376 495
MARA 0715 009 930
SIMIYU 0658 37 64 81
TANGA 0715 009 963
LINDI 0715 009 927
SINGIDA 0715 009 959
RUVUMA 0715 009 956
TARIME RORYA 0715 009 964
GEITA 0658 376 488
TEMEKE 0715 009 979
KINONDONI O715 009 976
TABORA 0715 009 961
IRINGA 0715 009 921
Wa Ilala, Temeke na Arusha Mh.Lugola (mb), Kawakaanga..! Nafasi hizo wapo watu wengne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpigie mkuu wa mkoa Mwanri atakuja hapo ukijikuna tu kisha ukalale kwake.
Ila tutakuona Instagram na kwa michuzi
 
Hakuna feedback yoyote? Hata kujua ni sehemu gani na ni gari gani? Hii ni bongo kwa kweli
 
Wale watu wa porini watakuwa wameshakuja na kunyakuwa kiserula chake, yani kutoka njia panda ya Itigi kuitafuta tabora na hivi kuna ujenzi wa Barabara hivyo magari kupita kwenye rough road kuna tisha Sana machaka yake.
 
Back
Top Bottom