simu za kutouch!

this happened to me when i got my touch phone but nimezoea sasa hivi. nilikuwa natuma tena neno lililokosewa so haikuwa issue sana.
 
Mi nilidhsni wadada hamna shida sababu mna vidole vyembamba... mi napata shida cz nukipeleka kidole kinagusa batanu tatu kwa mpigo...
 
Nikiona mtoto wa kiume/mwanaume anatumia simu ya ku-Touch huwa ninamuona ni mtu wa ajabu sana.
 
jamani hizi simu za kutach tach hizi mbona majangaa
boss wa smile:mbona hukunipigia tena jana
smile: nilimaleza repooort usiku bosso nikaona muda huo utakuwa umelalwa sana

Tupo wengi mi huwa na edit hadi basi maana unaweza kumtukana babayako hvhivi
 
BI DADA KANUNUA CM MPYA...
Screen touch..!!! Mdada : bebi
mambwo Jamaa : poa nambie
Mdada : vipw umelalwa? Jamaa:
unasemaje? Cjakuelewa hapo.
mdada : nauliza umelalwa? Jamaa:
mmmh! Cjalala baby hata ucngiz cna.
Mdada : mim menyew cjalwala ----
mijitu inapiga kelelw hapa nje kwetu
hadi inaboo wa. Jamaa: unasema
kumaa? Mdada : kuna kelelwe hapa
nje ya numba yetu usingwizi hakuna
kabwisa. Jamaa: hahaha pole huny.
Mdada : bwebi mbona unanichekwa
sasa? Jamaa: jaribu kuandika vizuri
baby. Mdada : hehehehwehwehwe.
Cunajua simu mupya alafu skirini
tachi kila nikibinya elufi hii inakuja
elufi ingine. Pwelo bebwi wangu.
Jamaa : hahhaaa haya
myn...

Sio bure viroba vilihusika.
 
Thnx to jf now nimepunguza matus ya bila kukusudia nishawah kutuma sms yeny neno ---- badala ya kuna.
 
Mi kuna siku nlim text wifi yangu, ilibidi aniulize leo umeandika kingazija? Kuja kurudia kusoma ile sms mi mwenyewe nlicheka, mana nlichanganya sentensi ata azieleweki
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom