simu za kutouch!

BI DADA KANUNUA CM MPYA...
Screen touch..!!! Mdada : bebi
mambwo Jamaa : poa nambie
Mdada : vipw umelalwa? Jamaa:
unasemaje? Cjakuelewa hapo.
mdada : nauliza umelalwa? Jamaa:
mmmh! Cjalala baby hata ucngiz cna.
Mdada : mim menyew cjalwala ----
mijitu inapiga kelelw hapa nje kwetu
hadi inaboo wa. Jamaa: unasema
kumaa? Mdada : kuna kelelwe hapa
nje ya numba yetu usingwizi hakuna
kabwisa. Jamaa: hahaha pole huny.
Mdada : bwebi mbona unanichekwa
sasa? Jamaa: jaribu kuandika vizuri
baby. Mdada : hehehehwehwehwe.
Cunajua simu mupya alafu skirini
tachi kila nikibinya elufi hii inakuja
elufi ingine. Pwelo bebwi wangu.
Jamaa : hahhaaa haya
myn...
 
BI DADA KANUNUA CM MPYA...
Screen touch..!!! Mdada : bebi
mambwo Jamaa : poa nambie
Mdada : vipw umelalwa? Jamaa:
unasemaje? Cjakuelewa hapo.
mdada : nauliza umelalwa? Jamaa:
mmmh! Cjalala baby hata ucngiz cna.
Mdada : mim menyew cjalwala ----
mijitu inapiga kelelw hapa nje kwetu
hadi inaboo wa. Jamaa: unasema
kumaa? Mdada : kuna kelelwe hapa
nje ya numba yetu usingwizi hakuna
kabwisa. Jamaa: hahaha pole huny.
Mdada : bwebi mbona unanichekwa
sasa? Jamaa: jaribu kuandika vizuri
baby. Mdada : hehehehwehwehwe.
Cunajua simu mupya alafu skirini
tachi kila nikibinya elufi hii inakuja
elufi ingine. Pwelo bebwi wangu.
Jamaa : hahhaaa haya
myn...

Ahahaa
 
Embu tupishe huko
shosti Smile hamia QWERTY yaani sipati picha boss wangu nimwambie amelalwa uwiii

Ndo wapi. Huko mana nitarudishwa bush mie
 
Last edited by a moderator:
Pole,ni mwanzo utazoea tu,ondoa autocorrect na simu nyingi tachi zina help ya namna kidole gani kiguse herufi gani.

Sizoei yani nilianza long time toka Jan last year nikaacha yaani majanga
 
Mwanangu kazoea touch kula siku alitouch mpaka flat screen yereuwiiii:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
Mwanangu kazoea touch kula siku alitouch mpaka flat screen yereuwiiii:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
Ahahaa yaani mi natafuta turn simu ya toc hi sasa
Nimechoka matusi
 
jamani hizi simu za kutach tach hizi mbona majangaa
boss wa smile:mbona hukunipigia tena jana
smile: nilimaleza repooort usiku bosso nikaona muda huo utakuwa umelalwa sana

Nimesoma x3 lkn sijaelewa ktu.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom