Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,403
- 4,763
Hahahaa,hii haikuhusu sio shemkwe!
Gals talks...
Gals talks...
BI DADA KANUNUA CM MPYA...
Screen touch..!!! Mdada : bebi
mambwo Jamaa : poa nambie
Mdada : vipw umelalwa? Jamaa:
unasemaje? Cjakuelewa hapo.
mdada : nauliza umelalwa? Jamaa:
mmmh! Cjalala baby hata ucngiz cna.
Mdada : mim menyew cjalwala ----
mijitu inapiga kelelw hapa nje kwetu
hadi inaboo wa. Jamaa: unasema
kumaa? Mdada : kuna kelelwe hapa
nje ya numba yetu usingwizi hakuna
kabwisa. Jamaa: hahaha pole huny.
Mdada : bwebi mbona unanichekwa
sasa? Jamaa: jaribu kuandika vizuri
baby. Mdada : hehehehwehwehwe.
Cunajua simu mupya alafu skirini
tachi kila nikibinya elufi hii inakuja
elufi ingine. Pwelo bebwi wangu.
Jamaa : hahhaaa haya
myn...
Ahahaaa mbavu zangu mie
mi nishachoka, siku hizi natuma tu msg kama kuna makosa ataedit msomaji
Hulalwi leo
Ila kuna mahali unaweza kuondoa autocorrect.
Ahahaa yaani mi natafuta turn simu ya toc hi sasa
Nimechoka matusi
jamani hizi simu za kutach tach hizi mbona majangaa
boss wa smile:mbona hukunipigia tena jana
smile: nilimaleza repooort usiku bosso nikaona muda huo utakuwa umelalwa sana