Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Habari zenu ndugu zangu! Naombeni mwenye uelewa na ufahamu mzuri wa simu za HTC anijulishe. Ufahamu huo ulenge hasa katika ubora na uduni wa simu hizo. Na Htc ipi ni nzuri kwa resolution nzuri ya picha, ku-support internet, whatsAPP na mambo mengine mengi ya kisasa. Asanteni