simu za bure atm barclays

zombi

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,615
1,323
katika ATM ZA barclays bank kuna ujumbe unaosema ikiwa atm haifanyi kazi piga namba hii bure.kwa lugha ya kigeni call this number when the atm defaults (toll free), hapa kwenye hii huduma ukipiga hii simu tu salio lako linateketea. sasa huu ni utapeli kabisa ni bora wangetoa namba mtu akapiga kutokana na uwezo wa salio lake kuliko kuwa na bold message kama hiyo. huu ni udhaifu katika swala zima kwa huduma kwa mteja.huu ni utapeli kabisa na lazima ukemewe kabisa ikizingatiwa wateja wanakatwa service charge kila mwezi katika benki.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom