Simu yenye Scientific calculator

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
0
Wana JF naomba mnisaidie simu aina gani ninunue hata kama bei ni kubwa lakini iwe na scientific calculator, naihitajia kwa kazi zangu......msaada wenu please
 
pcman

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
746
250
smartphone yeyote iwe symbian, windows mobile, android, blackberry au iphone.Scientific calculator ni software una iweka kama simu yako haina.
 
Charles1990

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
234
195
Unaweza kununua simu yeyote unayoipenda(yenye internet na uwezo wa kudownload, of course) sio lazima iwe symbian au smartphone.Baada ya hapo wembelea getjar.com select category ya education,hapo kuna mambo mengi kama dictionary,mashine za kujibia maswali,scientific calc.na nyingine.
Ikikataa kudownload kuna site nyingine safi sana,kwa sasa imenitoka kidogo nikikumbuka nitaiweka(nikisahau jaribu kuni PM)
 
Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,780
2,000
Unaweza kudownload scientific calculator app,on sites like Getjar.com
 
Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,361
2,000
nunua IPHONE inayo tayari from factory
images
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom