Simu yangu ni Android 10, App ya Vodacom inagoma kufanya kazi

Bwanamaya

Member
Mar 14, 2017
72
93
Wadau wa hizi kitu kama nilivyo sema nashindwa kusajili kwasababu ile app niki log in inakubali ila siwezi kufanya chochote kwasababu nikigusa nianze kazi inaganda tu hapo mpaka italeta kaujumbe hako ka close or wait.

Naombeni msaada nifanyaje wakuu
 
Back
Top Bottom