The Master pizo
Senior Member
- Dec 18, 2019
- 149
- 125
Wakuu habari za jioni nitangulize shukrani zangu kwenu kwa sababu najua mtanisaidia katika hili
Simu yangu TECNO W5 ina matatizo yafuatayo
=Haiwashi WI-FI
=Haiwashi BLUETOOTH
=Haiwashi RADIO
=GPS location yake inaniambia niko manyara au wkati mwingine inanipeleka zanzibari na mimi niko Bagamoyo
Nimejaribu kui restore sana bila mafanikio
Nimeiflash bila mafanikio
Naomba mnisaidie na nyie wakuu maana napata shida sana