Simu yangu inasumbua kamera msaada

IJIGHA NDIO HOME

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
748
771
Wakuu habari zenu natumai wote mkosalama,

Samahani wakuu Nina simu aina ya Tecno W5 kamera yake ya mbele inazingua inaweka ukungu haionyeshi vizur picha sasa nilikua naulizia kua kuna uwezekano wa kuibadilishia camera nyingine?

kama ni ngumu basi niombe kama mtu umu mwenye simu kama hii mbovu ninashida na camera tu.

Natumai nimeleweka nashukuruni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
camera utapata mkuu njoo uko mkoa gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom