Simu yangu inapata moto.

Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,976
24,488
Habari wana JF naombeni mnisaidie katika hili.Natumia Huawei y300 tatizo linakuja inapata sana moto napoiweka kwenye charge na napoitumia hasa inapata moto kwenye betri.Msaada Tafadhali nifanyaje???
 
Mi niliulizaga nkaambiwa etii inapata moto pale unapoitumia huku unaichaji ikabdi niwe naiacha kwanza ila tatizo ndo lipo pale pale!hee mpaka naogopaga isije ikanilipukia!
 
Mi niliulizaga nkaambiwa etii inapata moto pale unapoitumia huku unaichaji ikabdi niwe naiacha kwanza ila tatizo ndo lipo pale pale!hee mpaka naogopaga isije ikanilipukia!

Mi hata bila kuitumia wakati na charge inapata moto...kiukweli inaogopesha.
 
Hata mie yangu ni T612 Tangu nidownload UC Browser yenye uwezo wa java inachemka sana hasa pale ninapokuwa kwenye internet. msaada tafadhali
 
nikajua ni simu yangu tu hata mimi natumia huwaei y300 mara nyingine inapata moto mpaka naiogopa hebu wataalamu watujuze tafadhali
 
Hiyo ni hatari kuna siku itakupasukia vipande vipande.Niliwahi kushuhudia kwa macho yangu ikimuunguza dada mmoja matiti.Ni cancer ya hatari hiyo.
 
Ebu bonyeza *#06#ok ktk simu yako.zitaonekana namba za siri (IMEI) ziko zaidi ya 15.chagua nane za mwanzo.ktk hizo nane angalia kama namba ya nne na tano ni 00 au 01 hiyo maana yake simu yako ni orijino la,basi simu yako ni for temporary usage
 
Yangu mi namba zake ni 013181004600863
Fake au originali?
 
Habari wana JF naombeni mnisaidie katika hili.Natumia Huawei y300 tatizo linakuja inapata sana moto napoiweka kwenye charge na napoitumia hasa inapata moto kwenye betri.Msaada Tafadhali nifanyaje???

Ichaji wakati umeizima completely.
And lets see what happens
 
Ichaji wakati umeizima completely.
And lets see what happens

Hili nishalifanya ila nikiiwasha nikianza kuitumia upande wa internet inapata moto sana mpaka wakati mwingine naiogopa...
 
Wewe ikipata moto tuu,iweke kwenye friji au kwenye maji baridi ili ipoe

Usingechangia ungepungukiwa nini??Au unatafuta mahali pakumalizia MB zako??? Nenda Phonerotica ukamalizie huko acha watu wanaotumia MB zaobkwa manufaa wachangie hapa.
 
Back
Top Bottom