niipereke=× Niipeleke=√ ..Sumu=simu, ngoja waje wataalam, wasipokuja tafta mtu jichatishe nae mwambie "kuna namb ina ni spy je niipereke polisi au nijinyonge halafu kwenye wosia niiandke kama ndo chanzo?". Uone kama baada ya io msg utapata hio notification.
Sababu eti umekosea jukwaa. Huku mmuKwann unanfedhehesha hiv mkuu, kwan n lazma ucoment?? Daah umenkwaza sana
Sumu=simu, ngoja waje wataalam, wasipokuja tafta mtu jichatishe nae mwambie "kuna namb ina ni spy je niipereke polisi au nijinyonge halafu kwenye wosia niiandke kama ndo chanzo?". Uone kama baada ya io msg utapata hio notification.
kabla ya msaada..tuambie simu uloitoa wapi?
Jamani sumu yangu inanletea notification za hivyo,,,,,,,is it possible kwamba kuna mtu ananispy au kunidukua?? Na nifanyeje kuepukana na hilo???
Kwann unanfedhehesha hiv mkuu, kwan n lazma ucoment?? Daah umenkwaza sana
Chief mkwawa yuko busy kule kwenye jukwaa la tech hawezi kuja huku mmu mkuu!!Chief mkwawa njoo huku
Mara nyingi huwa ni applications zakuonesha locations na kuna baadhi ya websites huwa zinaonya kabla hujaanza kubrauzi.Hiyo haina tatizo lolote, wala hakuna anaefuatilia nyendo zake zaidi ya applications amozopakua mwenyewe.Mbona miandiko mingi sawa humu ni mtu mmoja au wengi hamjui kiswahili?
Mleta mada kuna spy application ipo kwenye simu yako inapeleka taarifa zote kwa aliyekununulia simu au uliyempa aitumie kwa muda au mkeo,mchepuko etc