Simu yangu inaniandika internal storage full, nifanyeje?

David kahuka

Member
Aug 11, 2013
28
5
Jamani cm yangu kila mala inaniambia internal storage full... Nimejaribu kufuta video,picha zote lakn space yake iko vilevile haijabadilika... Nimeclear cache lakn bado tatzo nisaidieni mwenye kujua hili!
 
Itakuwa Tecno hiyo!

Nilikuwa nayo hiyo, nilihangaika nayo ikabidi niuze tu.
 
Jamani cm yangu kila mala inaniambia internal storage full... Nimejaribu kufuta video,picha zote lakn space yake iko vilevile haijabadilika... Nimeclear cache lakn bado tatzo nisaidieni mwenye kujua hili!
Setting/Storage/cache. Tap kwenye cache itakuuliza "clear cache" Ok. Utapa mb zote za cache.

Setting/storage/miscellanous files/videos. Select video uzicopy na kuhamishia sd card. Ukishamaliza delete videos kwenye internal storage. Done!!!
 
Restore kama simu ina virusi kama haina sioni ulazima wa kurestore.
Hebu jaribu kuangalia ni vitu gani vinakula memory yako, ingia kwenye settings kisha storage utakuta mchanganuo.

Kisha tumia sd card kwa kuhifadhi media zote humo mfano miziki, picha na videos.
 
Back
Top Bottom