David kahuka
Member
- Aug 11, 2013
- 28
- 5
Jamani cm yangu kila mala inaniambia internal storage full... Nimejaribu kufuta video,picha zote lakn space yake iko vilevile haijabadilika... Nimeclear cache lakn bado tatzo nisaidieni mwenye kujua hili!

HuaweiUnatumia simu gani?
Hpn ni huaweiItakuwa Tecno hiyo!
Nilikuwa nayo hiyo, nilihangaika nayo ikabidi niuze tu.
Got uJust reset /restore factory!!
It helps?Just reset /restore factory!!
Setting/Storage/cache. Tap kwenye cache itakuuliza "clear cache" Ok. Utapa mb zote za cache.Jamani cm yangu kila mala inaniambia internal storage full... Nimejaribu kufuta video,picha zote lakn space yake iko vilevile haijabadilika... Nimeclear cache lakn bado tatzo nisaidieni mwenye kujua hili!
Restore kama simu ina virusi kama haina sioni ulazima wa kurestore.Got u