Simu yangu imepasuka kioo, bado naipenda sana nifanye nini?

Nyamwage

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
634
1,535
Habarini bandugu Ni hii simu yangu aina ya samsung galaxy A02s leo imeniponyoka kutoka mkononi urefu ni saizi ya kiuno imefikia kwenye malumalu imepata nyufa za kutosha kwenye kioo kubwa kuliko screen protector niliyo iweka ya sh 3000 haija pasuka ila kioo cha simu sasa kimekua kama wavu wa spider man
IMG_20210417_231253_3.jpg
IMG_20210417_231231_8.jpg
 
Yaani protector haijavunjika kimevunjika kioo? Duh pole, ngoja mafundi simu waamke wakupe bei ya kioo hope itarudi kama mwanzo mkuu.

Eti wavu wa spider😀
 
Back
Top Bottom