Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 655
- 604
kwa mwenye ushauri juu ya hili tatizo wakuu,natumia Tecno c7
jaribu ku reset simu yakoUmemblock either kwa kujijua au kutokujijua
Jaribu kuidefault set kama hautomaindi kudelete vitu ulivyosevu ktk simu!kwa mwenye ushauri juu ya hili tatizo wakuu,natumia Tecno c7
asanteIweke kwenye brenda then isage.ikishindikana ujue inamgomo baridi wa kutokujazwa vocha muda mrefu
daaa,sawa mkuu nikishindwa kabisa ntafanya hvooDef
Jaribu kuidefault set kama hautomaindi kudelete vitu ulivyosevu ktk simu!
kivipi mkuu,maana mimi nikituma zinawafikia,lakini kwangu hazfk japo kwao znaandka zmepokelewaUmemblock either kwa kujijua au kutokujijua
Akiongezea na maji itamsaidia sana katika usikivuIweke kwenye brenda then isage.ikishindikana ujue inamgomo baridi wa kutokujazwa vocha muda mrefu
yaa,you are great thinkerAkiongezea na maji itamsaidia sana katika usikivu
hapo theory ya haraka haraka umebadili default application ya hivyo vitu, mfano ukibadili default application ya sms toka app ya messaging inayokuja na simu hadi app ya hangout, halafu baada ya muda hujaiupdate app ya hangout then hutapokea sms, sababu app husika ya kupokea sms ipo out of date, same inaweza kutokea kwa simu.
kwa kuanzia nenda kwenye app ya message halafu nenda menu ya message kisha chagua settings halafu change default setting ya msg iwe ni app ya kawaida ya messaging na sio app nyengine. same kwenye simu ni hivyo hivyo.
alternative nenda playstore search app inaitwa default app manager lite, kisha idownload halafu uifungue itakuonesha app gani zinatumika kwenye sms na call
ulivyodownload default app ni ipi na ipi?mkuu nmedownload hyo app, na nmefanya kama uliyosema,lkini bado
ulivyodownload default app ni ipi na ipi?
Hapa vipi mkuu na Mimi Nina tatizo Kama Hilo la simu kutopokea sms kabisahapo theory ya haraka haraka umebadili default application ya hivyo vitu, mfano ukibadili default application ya sms toka app ya messaging inayokuja na simu hadi app ya hangout, halafu baada ya muda hujaiupdate app ya hangout then hutapokea sms, sababu app husika ya kupokea sms ipo out of date, same inaweza kutokea kwa simu.
kwa kuanzia nenda kwenye app ya message halafu nenda menu ya message kisha chagua settings halafu change default setting ya msg iwe ni app ya kawaida ya messaging na sio app nyengine. same kwenye simu ni hivyo hivyo.
alternative nenda playstore search app inaitwa default app manager lite, kisha idownload halafu uifungue itakuonesha app gani zinatumika kwenye sms na call