Jibu zuri a ikishindikana hadi hapo inatakiwa kurepair wifi kwa softwareJaribu kuirestart, ikishindikana fanya kui-restore/ Factory reset. Naimani itapona mkuu.
Nimefanya yote hayo lakini haijatengemaaJaribu kuirestart, ikishindikana fanya kui-restore/ Factory reset. Naimani itapona mkuu.
Kuna fundi nilimpekea akaniambia haiwezekani kutengenezaJibu zuri a ikishindikana hadi hapo inatakiwa kurepair wifi kwa software
Afanye wi-fi repair kwa kutumia miracle box au EFT inakaa sawa aache kuznguaKuna fundi nilimpekea akaniambia haiwezekani kutengeneza