Simu yangu haichezi Mp4

Mshumaaa

Senior Member
Sep 26, 2012
156
17
Kila nikiplay mp4 inacheza sauti tu picha hakuna. Naomba mnisaidie link niwezepata media player nyingine hata kwa kudownload. Simu yangu ni Nokia E61i. Haya wataalamu kazi kwenu.
 
If I'm not mistake hii thread Ina media player za symbian znazo play mp4 mpaka avi..... Pia kwa matzo ya symbian mengne waweza kuulza hapo....

symbian Megathread
 
Back
Top Bottom