Simu ya zamani, Tz 0012

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,825
Yangu bado ipo barabarani.
IMG_7809.JPG
IMG_7810.JPG
IMG_7811.JPG
 
Hiyo simu ilijulikana kwa jina maarufu "twanga pepeta" . Kuna jamaa yangu miaka hiyo aliidondosha kutoka juu umbali wa floor ya tatu ilianguka alipokuwa anajaribu kuitoa mfukoni ikiwa inaita alishuka ngazi kwenda chini angalau achukue betri tuu maana alijua ataikuta vipande,lakini Cha ajabu aliikuta bado inaita.
 
Hivi hizi ndio twanga pepeta? Sio zile kubwa zaidi ya hii?
 
Back
Top Bottom