Simu ya Huawei Y330 - U11 imepoteza IMEI baada ya ku unlock SIM. Naomba msaada namna ya kurudisha

no nm

JF-Expert Member
Apr 1, 2014
212
32
Nimejaribu:
1. Nikitumia miracle box inafeli kwenye "downloading boot 8" then inajifunga.

2. Kuweka custom ROM kwa sp - flash tool, nimefeli.

3. Nime apply update kutoka kwenye sim card inagoma.

4. Nimetumia mobile uncle apk ku restore IMEI kutoka kwenye bak file sijafanikiwa.

5. Nimetumia sn-write tool na yenyewe inafeli.

6. NCK dongle nayo nimeitumia lakini sijafanikiwa.

Msaada wenu wataalamu wa mambo.
 
root huawei io ( tumia Kingroot ya app ikishindwa tumia ya PC )

then weka hii kitu

tafuta simu iliyokufa ( chukua IMEI, au io Huawei yako cheki nyuma kule ) , bandika kwenye iyo app, kisha Apply

nb: iyo app ni kwa MediaTek Tu
 
Usitumie hivyo vi app vya simu wala usiroot ,ukirestore imei inapotea tena

Download Maui meta,kisha utaandika imei yako vizuri tu..

Baada ya hapo read flash kwa miracle kisha ipige dump yako upya,,mchezo kwisha..hata ukisrestore hapo haitoki tena.
 
Kazi nzuri mkuu au atumie NCK crack atarepair IMEI na kazi kwisha.
 
root huawei io ( tumia Kingroot ya app ikishindwa tumia ya PC )

then weka hii kitu

tafuta simu iliyokufa ( chukua IMEI, au io Huawei yako cheki nyuma kule ) , bandika kwenye iyo app, kisha Apply

nb: iyo app ni kwa MediaTek Tu
Nashukuru, nitaleta mrejesho
 
Usitumie hivyo vi app vya simu wala usiroot ,ukirestore imei inapotea tena

Download Maui meta,kisha utaandika imei yako vizuri tu..

Baada ya hapo read flash kwa miracle kisha ipige dump yako upya,,mchezo kwisha..hata ukisrestore hapo haitoki tena.
Shukrani. I will come back
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom