SIMU YA HAI ACCESS INTERNET KWENYE CM NYINGINE UKIUNGANISHA KUPITIA WIFI PIA ATA KWENYE COMPUTER MSAADA WA JF

Emaster037

Member
Mar 24, 2018
24
6
SIMU YA HAI ACCESS INTERNET KWENYE CM NYINGINE UKIUNGANISHA KUPITIA WIFI PIA ATA KWENYE COMPUTER MSAADA WA JF CJUI SHIDA NI NN NA MDA HUO NAKUAA KBS BA BANDO NA PIA KWENYE CM YNG INTERNET IKUWEPO NA INA ACCESS VZR 2 ILA SIO KWENYE CM HII YA PILI NILIYO IUNGA WI FI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh hicho kiswahili chako sasa burudani tosha ila nmekuelewa mkuu kwanza hàkikisha kua una kifurushi cha internet kwenye cm yako washa data kisha washa hotspot kwenye hyo cm yenye kifurushi baada ya hapo kwenye cm ya pili washa wifi kisha connect na hyo cm nyingne au kama ni pc pia fanya vivyo hivyo, sasa nlitaka tu kujua ulipitia hatua hz mkuu ili tujue wap pana tatzo
 
Ndio mkuu nimevitia hizo njia zote

Pia hili tatizo limejitokeza 2 saiv lakin mwanzo nilikuwa naconect inafanaya kaz vzr ila saiv ndo limejitokeza tatizo hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh hicho kiswahili chako sasa burudani tosha ila nmekuelewa mkuu kwanza hàkikisha kua una kifurushi cha internet kwenye cm yako washa data kisha washa hotspot kwenye hyo cm yenye kifurushi baada ya hapo kwenye cm ya pili washa wifi kisha connect na hyo cm nyingne au kama ni pc pia fanya vivyo hivyo, sasa nlitaka tu kujua ulipitia hatua hz mkuu ili tujue wap pana tatzo
Km bando nakua nalo kbs na cm yenye bado inakuwa ingia 2 vzr Internet ila kwenye cm pili inayokuwa umeunga inakuwa iko connected kbs ila access ya Internet inakua hmna, ata kwenye computer ni hivo hivo inakuwa Plz Mkuu Msaada Km Unajua Juu ya hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAKUSALIMIA KWANZA---
uwe unanyoosha swali lako vizuri ili anae kujibu anapata nafasi ya kukusaidia...
kwanza uwe unataja simu ya aina gani unayo na ukiweza tuma screenshot humu....
ila mie naona tatizo lipo ktk hio simu unayo chukulia data...
hebu piga factory seting lakini ujue unafuta kila kitu kwaiyo hamisha vitu muhimu pahali pengine.
asante
 
Back
Top Bottom