simu ya apple kila model mpya bei inaongeza katika toleo.

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
hizi simu kiufupi na historia nayo kwenye soko lake.

mara ya kwanza nilianza kushika iphone 2g
IMG_0433.jpg


bei yake ilikuwa kawaida na na ushindani wake ulikuwa wa kawaida sana.kipindi hiko kampuni kama blackberry ikiwa ndio gumzo mtaani.

mateleo ya iphone yalipoanza kuja kuanzia
3g,3gs,4,4s,5,5s bei zilikuwa tofauti sana.

sasa kuja kuanzia 6-12 pro max bei iliyoanzia na simu toleo jipya bei inazidi kupanda.

je hipo siku iphone toleo jipya huko mbeleni itakuja kufika bei ya milioni 9
 
Bei inaongezeka kutegemeana na specification za simu husika
Na maswala ya trusted bland
Ndio maana zipo tecn pop2
Na iphone,Samsung na mengine
Its a choice
 
Back
Top Bottom