Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

Motorolla L7 aisee hiki chuma kiache kabisaa

The grid
Waptrick
Phonerotica

Nilikua natembelea sana humoo
 
Sijui kama kuna simu sijawahi tumia kuanzia zile ukipigiwa unaigeuza unaongea kwa nyuma,

Walau sasa nina cm nzuri ya kisasa.
 
Motorola.. toleo la mfanano wa blackberry 2014.. Ina picha kali hata iPhone inapita kushoto....

Shenzi niliyekuazima ukaniambia walikuibia
 
Hivi bado zipo?
Motorola anaileta upya na 5G teknolojia huu ndio muonekano wake mpya
IMG_20201126_202631.jpg
 
Back
Top Bottom