Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

Samsung s2....hapa mji uliniona jeuri asee ile simu na ka amoled kake basi nilikua hata nikiiwasha gizani naona kama niko ulaya vile....
Picha kali enzi hizo ...
Acha tu
Na kwa kupitia hio simu samsung wakawa wamepata mteja wa kudumu
Hahaha
 
Back
Top Bottom