Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 11,622
- 21,991
So na wewe unataka kujifanya muhenga sioNokia C2 cha batan
Motorola cha batan vile vya kukunja.
Nimevimiss hivyo visimu...
So na wewe unataka kujifanya muhenga sioNokia C2 cha batan
Motorola cha batan vile vya kukunja.
Nimevimiss hivyo visimu...
Nataka niagize hiyo E7 kuna mtu kaniambia nitaipata alibaba nachelea wasije niletea famba maana wachina waongo sana
Hv aliexpress na kikuu ipi ipo vzrNataka niagize hiyo E7 kuna mtu kaniambia nitaipata alibaba nachelea wasije niletea famba maana wachina waongo sana
Kuna Iphone 12 chukua hii inapicha nzuriMimi nipo nje ya mada please. Simu yangu sumsung A50 ina camera mbaya inatoa picha mbaya. Plz advice me nidownload camera gani kwenye playstore
Aliexpress bei chini na uakwua na uwigo mpana wa kuchagua bidhaa na seller, kikuu bidhaa bei
Kikuu wamerahisisha ulipaji wao ila aliexpress sielew k2Aliexpress bei chini na uakwua na uwigo mpana wa kuchagua bidhaa na seller, kikuu bidhaa bei
Aliexpress unaweza kulipa kwa mastercard, visa za benki au mpesa, airtel mastercard
BlackBerry Bold 9930 . Enzi izo BBM iko moto balaaaa ..watoto wazuri wotee wana blackberry .. utaskia coco ping !!!
Yani ni kama saivi mtu awe na iPhone 12
Umenfanya nitamani nikanunua hii simu.Mimi lumia 1520 ilikua ni hatari mashine ile, gps yake noma sana, ilikua inakusomea incoming message alaf inakuuliza should i read it ukijibu yes inatiririka meseji yote.
HahahaSamsung s2....hapa mji uliniona jeuri asee ile simu na ka amoled kake basi nilikua hata nikiiwasha gizani naona kama niko ulaya vile....
Picha kali enzi hizo ...
Acha tu
Na kwa kupitia hio simu samsung wakawa wamepata mteja wa kudumu
Mzigo uchukue huoNapenda Sana blackberry nimezitumia nyingi curve,storm,z10 natamani Sana passport blackberry ni mashine
Passport blackberryNapenda Sana blackberry nimezitumia nyingi curve,storm,z10 natamani Sana passport blackberry ni mashine
Kabisa mkuuBlackBerry Bold 9930 . Enzi izo BBM iko moto balaaaa ..watoto wazuri wotee wana blackberry .. utaskia coco ping !!!
Yani ni kama saivi mtu awe na iPhone 12
BBM toka 2005 na WhatsApp 2009 ..ata ivo huwezi sema wassap kamkopi BBM kwasababu bbm ilikua inatumia pin na ilikua kwa wenye blackberry tuuIvi BBM sio copy ya whatssap kweli? Nani alianza kumcopy mwenzie? Blackberry au zuckerberg?
Mkuu ukifahamu chimbo lake hapa tupeane maujanjaNapenda Sana blackberry nimezitumia nyingi curve,storm,z10 natamani Sana passport blackberry ni mashine
Pesa ya kutosha kk around USD 250 kupanda eBay na amazonPassport blackberry
Inasimania tsh?