Simu simu simu

Yousuph .M.

Senior Member
Apr 16, 2011
123
24
Wapendwa,
Tunapenda kuwakaribisheni wote kuwa kwa yeyote mwenye kuhitaji simu original na zenye waranty ya mwaka mzima (nokia, samsung, LG, Blackberry all models, Sonny Erricsson)...chonde atuone kwa mawasiliano ili tumpokee na kumpatia mahitaji yake katika simu za viganjani na hata zile za mezani. Tunauwezo wa kuwafikieni popote mteja alipo bali pia tutaweza kuwapeni anuani sahihi ya mahala tulipo ili kuepusha mikanganyiko.
MUHIMU: Haipendezi kuweka anuani ya wapi tulipo (hii ni shauri ya haki za matangazo hapa JF) ndio maana hatukuweka physical adress hapa, tunapatikana hapa mjini Dar es Salaam.
Mnaweza pia kuni-PM kwa further clarifications.


Kwa mawasiliano zaidi,
0715-988888 (Yousuph)
0655-789403 (Ganesh)
 
Samahani mkuu, unaweza kurudia tena ufafanuzi wa kutoweka Physical adress hapa? Samahani kwa usumbufu
 
Mkuu nakushaurini muweke picha za simu na bei zake hapa...hasa zile muonazo mwauza cheaper kuliko mauka mengine.
Kwa kufanya hivyo mtapata wateja wa kutosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom