Simu Samsung Galaxy S8 haishiki mtandao wa Halotel

Ok mkuu nikipeleka kwa fundi namwambiaje ? Yani namwambia aifanye nn mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaodie mkuu nimeinunua laki 750, 000/= nilikuwa nataka kuirudisha lkn nikifanikiwa ku unlock ikafanya kazi vizuri itakuwa vizuri maana naipenda sana hii simu nzuri mno shida ndo imetokea hiyo baadhi ya network hazifanyikazi hasa 3g

Kama una option ya kuirudisha sio mbaya akupe inayoishiwa na F kwa mbele, hizo ndio version za kimataifa zisizosumbua.

Kwa fundi hapo anatakiwa kutoa Network lock/ku unlock band, ukimuelezea tatizo atajua. Na si fundi wa kufungua fungua simu anatakiwa fundi wa software.
 
Tatizo nimeinunua dodoma na ninaishi kigoma kuna kagarama hapo kama laki2 kuipeleka na kurudi ndomaana inanipa taabu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una option ya kuirudisha sio mbaya akupe inayoishiwa na F kwa mbele, hizo ndio version za kimataifa zisizosumbua.

Kwa fundi hapo anatakiwa kutoa Network lock/ku unlock band, ukimuelezea tatizo atajua. Na si fundi wa kufungua fungua simu anatakiwa fundi wa software.
Acha nipeleke kwa fundi nimwambie a unlock net

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni kazi za watu mkuu, ngumu ku unlock mwenyewe nyumbani, hapo hadi utafute mafundi wenye box.
Mkuu chief mkwawa nimepeleka simu kwa fundi wa soft ware anasema eti anaiflash simu ndo matengenezo yake sasa nimemwambia aache kwanza nikuulize kama kuflash simu ndo tiba ya simu yangu. Nisaidie hapo please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ujumla tu nikwambie ukweli... hawa samsung ukirogwa ukanunua model ambayo ni network locked utajuta.

Kwa ujumla hapo huezi pata msaada hapa TZ zaidi ya kuharibiwa zaidi.

Simu nyingi mnazonunua kwa bei rahisi hizo za flagship hasa samsung sio global version na nyingi husumbua sana.
Mkuu chief mkwawa nimepeleka simu kwa fundi wa soft ware anasema eti anaiflash simu ndo matengenezo yake sasa nimemwambia aache kwanza nikuulize kama kuflash simu ndo tiba ya simu yangu. Nisaidie hapo please

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
s8 kwa bei hiyo wamekupiga,mimi natumia s8+ hapa nimenunua 600k tu mpya kabisa na haijawahi kuzinguia
Nisaodie mkuu nimeinunua laki 750, 000/= nilikuwa nataka kuirudisha lkn nikifanikiwa ku unlock ikafanya kazi vizuri itakuwa vizuri maana naipenda sana hii simu nzuri mno shida ndo imetokea hiyo baadhi ya network hazifanyikazi hasa 3g

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom