Simu nzuri ya sh laki4 ni ipi

Sony Xperia C5 Ultra
Water resistant, Noise Cancelation, Camera megapixel kama zote hv Selfie kali NK.
 
HTC One M9 ....achana na mabapa ya Samsung ...hayo wanatumia wadada ...mtoto wa kiume tumia simu portables mfano kama iPhone 6 plain hivi ....HTC one m9 ipo portable ...market price 450K ....kama unaweza kuongeza hela panda chukua iPhone au Sony...hizo ndo brand za kiume Samsung mwachie dem wakko
 
nashukuru sana kwa ushauri wenu nimenunua galaxy s6 kwa 450k naitumia hapa mida hii simu iko poa sana sijajutia pesa yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom