Simu nzuri na yenye uwezo mkubwa kwenye Internet hata mahali penye mtandao unasuasua

james bendui

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
547
472
Wakuu naomba kujuzwa simu yenye uwezo mkubwa hasa kwenye upande wa internent binasfi natumia s6 plus edge Samsung kwa low mtandao naona haifanyi vzr sana hasa huku nilipo sasa ni kijijini sana napata shida kuperuz ila kunajamaa j1 Samsung naona inajitahid sana kushinda yangu asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia upate na Laini ya mtandao unao kata mawimbi vizuri kwenye internet access
Wakuu naomba kujuzwa simu yenye uwezo mkubwa hasa kwenye upande wa internent binasfi natumia s6 plus edge Samsung kwa low mtandao naona haifanyi vzr sana hasa huku nilipo sasa ni kijijini sana napata shida kuperuz ila kunajamaa j1 Samsung naona inajitahid sana kushinda yangu asante.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba kujuzwa simu yenye uwezo mkubwa hasa kwenye upande wa internent binasfi natumia s6 plus edge Samsung kwa low mtandao naona haifanyi vzr sana hasa huku nilipo sasa ni kijijini sana napata shida kuperuz ila kunajamaa j1 Samsung naona inajitahid sana kushinda yangu asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta simu za xiaomi hutajuta maana zinakamata network balaa hadi maporini huko kwenye weak signal
 
Back
Top Bottom