Simu nzuri kwa Internet

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Habari zenu wadau, natafuta simu nzuri yenye internet lakini isiwe blackberry, na isiwe touchscreen, natumia mtandao wa tigo, kwenye tigo kama unatumia blackberry unaweza kulipa elfu 20 na ukapata intenet kwa mwezi mzima unlimited.....nauliza kwa simu za nokia
inawezekana??? au simu gani nyingine?
 
Most of Nokia phone zinaweza pata Tigo internet,au ata hizi samsung.muhimu ni kuingiza APN katika simu husika.Voda wana system ya kutuma APN direct kwenye simu yako after telling customer care your model.but Tigo inabidi uweke manually,after this unaweza pia tumia hiyo simu kama internet modem kwa laptop yako.Kwa Tigo jaribu kati ya hizi tigowap,tigoweb as APN au tumia tigo menu ktk simu yako ili kupata internet settings
 
mkuu hapo kwenye nyeusi patamu. tueleweshe vizuri unafanyeje ili simu iweze kutumika kama internet moderm kwenye laptop?
 
Asante kwa msaada wako ila maelezo yako aidha yametofautiana na heading au hayajajitosheleza. Pia ulitakiwa kutueleza unapotaka kujiunga maybe kwa vodacom unatuma model ya simu kwenda namba ipi, hii ni pamoja na hiyo ya tigo iwapo unataka kujiunga manualy.
 
mkuu hapo kwenye nyeusi patamu. tueleweshe vizuri unafanyeje ili simu iweze kutumika kama internet moderm kwenye laptop?
Natumia Nokia E61i...uwe na waya wa kuhamisha data(mf picha..video), uwe na nnokia PC Suite software...unganisha simu kwenye kompyuta kwa kutumia waya.. fungua nokia PC suite na utaona option ya internet... na kama uhsjisali na huduma hii...ukibonyeza kifunguo cha 'connect' itakuunganisha...
TAHADHARI: kutumia simu kama modem inasababisha matumizi makubwa ya betri...
 
asante sana. nitajaribu bahati nzuri na mimi nina nokia E61i na waya ninao
 
Nami ningependa kufahamu je simu ya TIGO ambayo inatumia line ya TIGO pekee naweza kupata mtandao, samahani wakati naunua sikuwahi kuuliza
 
Dear Polisi.
Handset yako ni aina gani?kwa watumiaji wa Voda unaweza jiunga na CHEKA INTERNET kwa 500 tsh tu na ukawa na net siku nzima ktk simu yako ambayo pia ukaitumia kama modem ktk laptop au desktop yako
Ambaye anaitaji ushauri zaidi ani PM
 
Simu yeyote inawezekanika kuingiza internet kwa kutumia mitandao mfano mzuri ni mimi mwenyewe natumia internet na nimeunganisha katika mitandao ya Tigo, Vodacom na Zain na ninatumia NOKIA 6270. Jaribu na utafanikiwa
 
mkuu hapo kwenye nyeusi patamu. tueleweshe vizuri unafanyeje ili simu iweze kutumika kama internet moderm kwenye laptop?

Heshima bandugu woote. Kweli hapo kwenye nyeusi nimepanda. Mimi ninayo Blackberry 8310 vipi inawezekana kutumia kama modem?
 
natumia nokia e61i...uwe na waya wa kuhamisha data(mf picha..video), uwe na nnokia pc suite software...unganisha simu kwenye kompyuta kwa kutumia waya.. Fungua nokia pc suite na utaona option ya internet... Na kama uhsjisali na huduma hii...ukibonyeza kifunguo cha 'connect' itakuunganisha...
tahadhari: Kutumia simu kama modem inasababisha matumizi makubwa ya betri...

hasante mkuu kwa taarifa hii in red. Mie huitumia nokia yangu 3120 classic kama modem kupitia pc suite. Hasante
 
Natumia Nokia E61i...uwe na waya wa kuhamisha data(mf picha..video), uwe na nnokia PC Suite software...unganisha simu kwenye kompyuta kwa kutumia waya.. fungua nokia PC suite na utaona option ya internet... na kama uhsjisali na huduma hii...ukibonyeza kifunguo cha 'connect' itakuunganisha...
TAHADHARI: kutumia simu kama modem inasababisha matumizi makubwa ya betri...

MKuu nilijaribu kutumia hiyo kitu kama ulivyosema hapo ila mmmmh inakula hela hakuna mfano... yani ukiweka buku tano haichukui dk kumi
suluhisho ni kununua modem tu
 
nasikia blackberry ni cheaper unalipia internet kwa mwezi nakutumia 24/7 utakavyo. mara ya mwisho kama zain ilikuwa elfu 35. pata smarthone kila kitu mkononi, e-mail, facebook etc ina beep kama sms zikiingia
 
mkuu unatumia mtandao gani? Nilikua najaribu kufikiria kama unatumia voda jaribu kuweka cheka internet sh 500 per day uone itakuaje
 
nasikia blackberry ni cheaper unalipia internet kwa mwezi nakutumia 24/7 utakavyo. mara ya mwisho kama zain ilikuwa elfu 35. pata smarthone kila kitu mkononi, e-mail, facebook etc ina beep kama sms zikiingia

vipi ukiunganisha na laptop bado unaendelea kula mambo kama kawa?
 
ulieuiza swali hope iphone ni best kwa mtandao, usiogope touch screen, ila ununue genuine iphone fake za kichina nyingi sana, 3GS 8gb ni 1.2m sapna! unadownload hadi movie!
 
MKuu nilijaribu kutumia hiyo kitu kama ulivyosema hapo ila mmmmh inakula hela hakuna mfano... yani ukiweka buku tano haichukui dk kumi
suluhisho ni kununua modem tu
Nunua Bundle ya internet...usitumie kwa kuweka vocha...inakula kuliko mafisadi!
 
Back
Top Bottom