KALITHERMAL
Member
- Aug 22, 2013
- 81
- 8
Wadau,
nataka kununua moja kati ya simu hizo mbili,iphone 5s au blackberry q 10,ipi simu nzuri hasa ukizingatia utunzaji wa chaji,applications kama jf,twitter,instagram etc?
Mwenye uzoefu na hizi simu tafadahali,msaada....